Thursday, January 26, 2023

SOPHIA MJEMA: Hivi ndivyo yalivyokua Mapokezi ya Sekretarieti ya CCM Dodoma

 

  Viongozi, Wanachama na wananchi wa Dodoma na mikoa jirani wajitokeza kutupokea viongozi wapya wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) leo Januari 24, 2023 katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.


0 comments..:

Post a Comment